FINLAND YAJA NA ELIMU YA PHENOMENA BASED LEARNING - ⚽Jumba La Michezo⚽

House of History, Sports & Movies

Breaking

Monday, May 28, 2018

FINLAND YAJA NA ELIMU YA PHENOMENA BASED LEARNING

Kuvatoimisto Kuvio Oy 

Nchi ya Finland imebuni shule ambayo wanaamini itakuwa shule bora zaidi duniani kimuundo na kuweza kuinua kiwango cha elimu.

Shule hiyo imeondoa vizuizi vya kuta kati ya madarasa na wanafunzi watanchanganywa kiumri na kimasomo. Pia wanafunzi watakuwa na uamuzi wa kipi wafundishwe ili kukuza ubunifu wao.

Shule inaweza kuamua kujifunza kitu fulani mfano Mabadiliko ya Hali ya Hewa (Phenomenon-based teaching and learning (PBL)) na wanaweza kuangalia somo hilo kutoka pembe mbalimbali mfano Hisabati, Sayansi na kadhalika. Hii ni kutokana na ukweli kwamba mambo mengi katika maisha hayajagawanyika kwenye masomo bali hutakiwa tu kuangaliwa kutoka pembe mbalimbali.

Ujio huo wa Phenomena Based Learning, Ms Grahn-Laasonen Amesema kuwa: “Schools can choose a theme like climate change and you can look at it from very different perspectives, from very different subjects like mathematics … It's giving our children skills to think about subjects like climate change from different perspectives.”

Muundo huu unaaminika kuwapa wanafunzi sauti ya kuamua wajifunze wapi na wajifunze nini ikiaminika wana mawazo mazuri sana na wanaona vitu vingi ambavyo hata walimu hawaoni.



Reino Tapaninen, ambaye ni muhandisi katika Idara ya elimu nchini Finalnd ameiambia CityLab kuwa “lot of soft chairs, big cushions, rocking chairs, sofas, as well as moveable walls and partitions behind which you can hide yourself for private discussions”.

The traditional desks and chairs have disappeared, instead there are spaces where different age ranges gather to share their learning. Finland’s schools teach mixed-year groups (or grades), and from an early age children have more say in what their weekly lessons will be comprised of.

Kirsti Lonka, Profesa wa Saikolojia ameiambia BBC kuwa “When it comes to real life, our brain is not sliced into disciplines ... we are thinking in a very holistic way. And when you think about the problems in the world – global crises, migration, the economy, the post-truth era – we really haven’t given our children the tools to deal with this inter-cultural world.”  

Samahani kwa kuchanganya kiswahili ni kiengereza

No comments:

Post a Comment

Pages