GOAL MORNING: Zlatan Ibrahimovic Unbelievable bicycle Goal vs England. - ⚽Jumba La Michezo⚽

House of History, Sports & Movies

Breaking

Friday, June 1, 2018

GOAL MORNING: Zlatan Ibrahimovic Unbelievable bicycle Goal vs England.

Image result for best goal of ibrahimovic vs england
PICHA HII KWA HISANI YA GOAL.COM
Miaka sita iliyopita, Zlatan Ibrahimovic alifunga goli ambalo moja ya magoli mazuri kuwahi kutokea duniani.
Katika mechi kati ya timu yake ya taifa ya Swedeen dhidi ya Uingereza, huku wakishinda magoli 4-2 katika mechi ya kirafiki.
Goli hili lilifungwa mwaka 2012 laikini lilijumuishwa katika tuzo za mwaka 2013 zijulikanazo kama FIFA Puskas Award.

Kiungo pamoja na Nahodha wa Uingereza Steven Gerald alisema kuwa:

"Sometimes you have to hold your hands up to an individual special performance and this was a world-class performance from a world-class player. It is the best goal I have seen live. I think the best I have seen before that was Wayne Rooney’s. Everyone knows how special that was, but this one – an overhead kick from 25 yards when the ball is six feet in the air – only certain players can do that. And he is a special player."


No comments:

Post a Comment

Pages