MIDSEASON BREAK INTO THE BADLANDS SEASON 3 - ⚽Jumba La Michezo⚽

House of History, Sports & Movies

Breaking

Monday, July 2, 2018

MIDSEASON BREAK INTO THE BADLANDS SEASON 3

INTO THE BADLANDS SEASON 3



Taarifa kwa wafuatiliaji wa Series ya Into theBadlands kuwa kwa sasa Season 3 ya Series hiyo ipo katika Midseason Break. 

Baada ya tarehe 17 mwezi wa Juni kurushwa kwa episode ya nane ya series hii ambayo kwa sasa imefiksha nusu ya idadi ya episode ambazo zipo kwenye season hiyo, ambapo season three ina jumla ya episodes 16, Kwa sasa kampuni ya AMC bado hawajatangaza tarehe maalumu ambayo season hiyo itarudi tena hewani kuonyeshwa series hiyo.

Daniel Wu as Sunny in Into The Badlands season 3

Lakini kama Series ya The Walking Dead ambayo pia ilirushwa na kampuni ya AMC ilikuwa na jumla ya idadi ya episode 16 na ilikuwa na mapumziko ya miezi miwili, kwahiyo kama  na Into the Badlands itafuata mfululizo huo basi wazi itarudi hewani mwezi wa nane au mwezi wa tisa.
Kwa episode nane ambazo zimerushwa zimerushwa jumla ya wiki nane, ambazo siku chcahe zijazo zikuwa broadcasted, na kama Season itarudi basi itakuwa inarushwa kupitia Amazon Prime kwa wale waingereza.

Kutokana na picha aliyopost mwanamama Stephanie Hicks katika Social Media mbali mbali ambayo inaonyesha episode ya 11 akionyesha Screenplay. Na laiipa caption kuwa “Spent my Holiday holed up working on this script with the awesome @MattTheLambert. It starts shooting tomorrow in the Ireland directed by the Tricia Brock. Very excited and Proud! Intothebadlands femalefilmmakers.
Kutokana na taarifa hiyo ni wazi kuwa awamu nyingine ya season three  tayari imekamilika na episodes nyingine nane zilizobaki zitarushwa hewani kwa kila wiki.

Nini kitatokea katika Season ya tatu ya Into the Badlands

 Into The Badlands season 3 is on a hiatus
Ilipoishia katika episode ya nane kuwa Sunny amekutana na Pilgrim na wamekuja kuwa intertwined kuliko walivyokuwa.
Ambapo sasa Sunny alikuwa na kipande cha Puzzle na kwa sasa yuko na Pilgrim pamoja na Cressida amabpo inatabiliwa kuwa unabii utatimia (Age of Phophecy)
Lakini Bajie alijaribu kumuonya Sunny kuwa asifuatane na Pilgrim kuelekea Meridian Chamber, Lakini akasema anafanya kwa ajili ya kumuokoa mwanae Henry.
Sunny alianza kujutia pale baada ya Azra Machinery ilipokuja na nguvu za kale zikaanza kuwazonga yeye, Henry na Pilgrim.

Baadae Pilgrim alifanikiwa kuchukua nguvu za hela na kujipatia yeye mwenyewe, Ndipo mashabiki hawajui kitu gani kitatokea katika muendelezo wa Season hiyo.Lakini Sunny atakutana na dada yake ambaye alipotezana nae zamani nay eye akiwa hamkumbuki, Lakini dada yake huyo anamlaumu kwa kifo cha Mama yao.

Daniel Wu (Sunny) Kuhusu ujio wa Muendelezo wa Season ya tatu



“Natumaini kuwa katika muendelezo wa msimu ujao wa tamthilia hii kuwa mtaona namna gani yeye na huyo dada yake wanahusiana na kwa vipi wanahusiana na Azra na Miosheni ya Pilgrim.”
Kama utakumbuka Episode ya nane iliyopitab Sunny amesema kuwa kosa kubwa ni kumfuata Pilgrim katika ile Chemba.

Into The Badlands season 3 is on a hiatus

Aliendelea kusema kuwa “Kama sehemu ya kulaumiwa basi ni kwenda kwenye Chamber kwa ajili ya kumsaidia Henry, nah ii ndio ipo kati ya mwamba na sehemu ngumu, na alikuwa hajali matokeo ya kitendo hiko.
“Kitu ambacho nilikuwa najali nikiwa kama baba ni kumjali mototo wangu, and matokeo mengine kuwa kitendo hiko ni kumpatia nguu Pilgrim na hiki ndio kitu ambacho nitakuwa najutia maisha yote”

“Nawaza sana kuwa kitu kinachotokea kwa yoyote yule, Sio tu kuhusu familia, ALkini inaelekea kumuathiri kila mmoja katika mji wa Badlands.”

No comments:

Post a Comment

Pages