GOAL MORNING: Gerrard decided to attempt what everyone else believed was a mission impossible - ⚽Jumba La Michezo⚽

House of History, Sports & Movies

Breaking

Friday, August 17, 2018

GOAL MORNING: Gerrard decided to attempt what everyone else believed was a mission impossible

Image result for GERARD AGAINST MILAN 2005

Steven Gerrard hakika alikuwa mwanaume wa shoka, ambaye ameweza kuiongoza klabu ya Liverpool katika nyakati ngumu zote.
Leo hii imenifanya nikumbuke goli lake dhidi ya Ac Millan kule Instabul katika mchezo wa fainali ambapo Liverpool alienda mapumziko akiwa nyuma kwa goli 3-0, Lakini timu ya Liverpool ilibadilika kipindi cha pili na kufanya matokeo kuwa 3-3 na kushinda kwnye matatu kwa idadi ya 3-2.

Goli la Steven Gerrard katika mechi hiyo ilikuwa ni moja ya goli ya ajabu katika mazingira magumu.
Image result for rui costa euro 2004 goal gif

No comments:

Post a Comment

Pages