
Kiungo wa Real Madrid na timu ya taifa ya Colombia James Rodríguez, Alifunga goli bora kabisa katika michuano ya Kombe la dunia mwaka 2014 iliyofanyika nchini Brazil, Goal hilo ambalo alifunga dhidi ya Uruguay ambalo lilikuwa goli bora la mwaka katika tuzo za Puskás Award. Alikuwa anashindanishwa na goli la Stephanie Roche na Robin van Persie, Lakini wawili hao hawakuwa na shaka juu ya ushindi wa James kwenye tuzo hizo.
No comments:
Post a Comment