GOAL MORNING: Pipo Inzaghi was Born Offside - ⚽Jumba La Michezo⚽

House of History, Sports & Movies

Breaking

Monday, August 20, 2018

GOAL MORNING: Pipo Inzaghi was Born Offside



Katika moja ya washambuliaji hatari kuwahi kutokea basi hakika Filipo Pipo Inzaghi ni moja wao, muda wote akiwa kwenye goli la wapinzani, mpaka kocha wa Manchester United Sir Alex Ferguson alisema kuwa "I think he was born offside"
Baadhi ya magoli yake yamefanya leo nimkumbuke katika sehemu hii ya GOAL MORNING

Tuanze kwa kuangalia hii hapa dhidi ya Liverpool katika mchezo wa fainali dhidi ya Liverpool mwaka 2007 namna gani alifunga goli.
Image result for pippo inzaghi GOAL gif


Najua hiyo imeona namna gani mtu pekee ambaye angeweza kufananishwa nae basi ni mshambuliaji wa zamani wa Manchester United Javier Hernandez au Chicharito.
Nyingine hii hapa angalia.




Kila kiungo chake cha mwili kilikuwa kinatumika katika kufunga goli, kuanzia kichwa, pua, tumbo, kifua, goti nk ili kuhakikisha mpira unakuwa kwenye lango ebu mtazame hapa







No comments:

Post a Comment

Pages