Na: Bakari Ally
Simu: 0682000544
Kuna wakati unafika ukweli lazima tuseme sioni sababu hata moja ambayo familia ya glazer kumfukuza david moyes (DM) mtu ambaye amepewa kazi ya kujenga timu hapa ndipo ninaona huu ni mchezo kama wa simba ambao walimpa king abdalah kibadeni atengeneze timu wakati timu ipo nafasi ya pili wakamtimua kutaka timu ichukue ubingwa mpaka ligi imeisha simba wapo nafasi ambayo kila mtu hakuitegemea.
Jose mourinho amekuwa akisisitiza kuwa yeye hayupo kwenye mbio za ubingwa yupo kwenye kazi ya kujenga timu hii ni dhairi kuwa ukiwa unajenga timu huwezi kutaka uwe bingwa au timu yako ifanye vizuri japokuwa chelsea wanafanya vizuri lakini jwa kuwa yupo mourinho na kuna wachezaji wazuri kama oscar,hazard,matic,ramires,azipilicueta na wengineo wengi upande wa moyes ana watu kama valencia,welbeck,ferdinand,evra,young ambao wote ukiwaweka sokoni hata paund millioni hamsin kwa wote haiwezi kufika
Unapomfukuza kocha ambaye amejenga timu kuwa amefanya vibaya ni sawa kutaka kuingia baharini alafu usilowe,hiki ndicho kitu ambacho man utd na simba wamekitaka huku man utd wakifukuza DM nao Simba wakimfukuza KAK wote wakiwa na kazi ya kujenga timu
Hivi wewe ushaipata sababu ya DM kutimulia kila sehemu kuna sababu zake huku wanasema wachezaji kama evra,chicharito,ferdinand hawana imani nae pia amekuwa hawagomei baadhi ya wachezaji na kuna nyingne ambayo ni wamiliki wamekosa imani nae sababu hizo zipo sehemu tofauti ina maana kila mtu ana sababu yake.

DM wenyewe taarifa ameipokea vibaya na kusema kuwa ni muda mchache ambao amepewa kujenga timu takribani siku 296 akiwa amesajili wachezaji wawili tu
Kama wewe ni member wa kundi la sports highlights mwezi january tarehe 30 niliandika kuwa "DAVID MOYES ANAMJARIBISHA TEMBO KUNYA MAVI MAKUBWA" niliandika hivi kwa kuwa moyes alisema kuwa man u kipindi cha mwezi wa januari haisajili wachezaji wengi ni kitu ambacho kimemgharimu kutosajiri wachezaji wengi kumjaribisha SAF huku nikasema amemjaribisha tembo kunya mavi makubwa.
Guardiola,jurgen klop,LVG,carlo anceloti na blanc wa PSG wanatazamiwa kuja kuchukua mikoba ya DM japo familia ya glazer imesema kuwa itafanya mkutano siku ya ijumaa klopp siku 3 za nyuma alikana kwenda barcelona huku guardiola nae amekana amesema anataka kubaki munich je nani kati ya LVG,blanc au anceloti
Inakadiliwa kuwa david moyes atalipwa dola milioni 58 kwa kuvunja mkataba wake ni kama paundi 35 milioni kama atakuja tanzania kuanzisha maisha wakati paundi 1 sawa na 2200 mpaka 2500 anaweza kukaa miaka kama 20 bila kazi akawa anatumia pesa zake pia na wakina phil nevile watamfuata david moyes
Ryan giggs ambae alisema kuwa ataachana na soka mwishoni mwa msimu sasa amekuwa kocha mchezaji amepewa majukumu mpaka mwisho wa msimu kuinoa man utd
Huu ni wakati wa kusema david moyes NO katika yale majibu yanu mawili kati ya YES na NO leo nipo na NO angepewa muda zaidi.
FORGIVE ME
No comments:
Post a Comment