GOAL MORNING: Marcelo superbly cut inside sliding Lyon defender and thumped a shot | Happy Birthday - ⚽Jumba La Michezo⚽

House of History, Sports & Movies

Breaking

Saturday, May 12, 2018

GOAL MORNING: Marcelo superbly cut inside sliding Lyon defender and thumped a shot | Happy Birthday

Image result for marcelo goal vs lyon
Marcelo akifunga goli la kuongoza katika mchezo kati ya Real v Lyon mwaka 2011 ligi ya mabingwa ulaya


Mwaka 2011 katika Ligi ya mabingwa ulaya baina ya Real Madrid vs Lyon kutokea nchini ufaransa, zilikutana katika hatua ta mtoano na matokea ya mechi ya kwanza ni 1-1, Baada ya wiki kadhaa ya marudiano katika uwanja wa Santiago Bernabeu, Real madrid walishinda goli tatu kwa sifuri, Shukrani kwa Marcelo ambaye alipokea pasi nzuri kutoja kwa Ronaldo wakati Lovren ana slide achukue mpira Marcelo akapita na baadae anakawa ndani ya 18 na goli kipa Hugo Lloris na kufunga.

Leo hii Marcelo anatimiza umri wa miaka 30 Shukrani kwake mungu ampe maisha marefu zaidi yenye afya. Angalia goli hapo chini. GOAL MORNING.


No comments:

Post a Comment

Pages