GOAL MORNING | Gareth Bale Unstoppable Goal | Spurs vs Sunderland - ⚽Jumba La Michezo⚽

House of History, Sports & Movies

Breaking

Friday, June 22, 2018

GOAL MORNING | Gareth Bale Unstoppable Goal | Spurs vs Sunderland

Gareth Bale's brilliance did not prove to be enough for Tottenham


Ilikuwa siku ya tarehe 19 mwezi mei ni mechi ya mwisho ya Ligi kuu nchini Uingereza, Ikiwa klabu ya Tottenham na Arsenal zinawania kufudhu klabu bingwa Ulaya kwa msimu unaofuata.
Mechi hii ya Mwisho ya Ligi hiyo ambapo winga Gareth Bale aliweza kufunga goli moja zuri sana katika yadi 25 na kuipata ushindi klabu yake ya wakati huo, Japokuwa walishindwa kufudhu Ligi ya mabingwa na kumaliza nafasi ya tano.




No comments:

Post a Comment

Pages