WATU WALIOSEMA MANENO YA KUFURU DUNIANI NA MATOKEO YAKE - ⚽Jumba La Michezo⚽

House of History, Sports & Movies

Wednesday, April 11, 2018

demo-image

WATU WALIOSEMA MANENO YA KUFURU DUNIANI NA MATOKEO YAKE

1. Mtengenazaji meli ya titanic.
.com/blogger_img_proxy/

Baada ya kutengeneza meli ya TITANIC, mwandishi wa habari alimuuliza ni kiasi gani ilikuwa salama, nae akajibu " Ni salama sana na haiwezi kuzama na hata mungu hawezi kuizamisha".
Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu TITANIC

2.AZUZA (mwanamuziki brazil)


jjba___jotaro_by_hazuza-d97hm6p

Alipokuwa kwenye show yake ndani ya jiji la Rio dejeneiro , alichukua sigara akaanza kuvuta, akachukua nyingine kisha akairusha juu na kusema " Mungu na hiyo yako , chukua na wewe uvute. Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu, ambayo iliharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote.

3.Christina hewt (mwandishi)

Huyu alikaririwa akisema " Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya kama biblia, siku chache baada ya kusema maneno haya, mwili wake ulikutwa umeunguzwa moto ambao haijajulikana hadi Leo umesababishwa na nini.

4. John Lennon (muimbaji)
c89c7854
John Lennon


Wakati alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari la gazeti la america alinukuliwa akisema " ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwasi na hilo kwa kuwa Nina uhakika nalo. Huyu naye baada ya muda alikutwa amekufa nyumbani kwake

5. Tancredo neves (rais wa brazil)

tancredo-neves
Tencredo neves


Alisema kwamba endapo angeshinda kura laki tano katika uchaguzi mkuu Brazil na kuwa rais , hata mungu asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa akapata kura zaidi ya laki tano akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa akafariki dunia.

No comments:

Post a Comment

Pages