GOAL MORNING | Zidane's Magic Moment:Real Madrid v Leverkusen - 2002 UEFA Champions League final - ⚽Jumba La Michezo⚽

House of History, Sports & Movies

Breaking

Wednesday, May 9, 2018

GOAL MORNING | Zidane's Magic Moment:Real Madrid v Leverkusen - 2002 UEFA Champions League final

Image result for REAL MADRID VS BAYERN LEVERKUSEN 2-1 2002
ZIDANE:AKIWA ANAFUNGA GOLI LA PILI KATIKA MCHEZO WA FAINALI DHIDI YA LEVERKUSEN 2002

"The moment of magic, inspiration from Zinadine Zidane," Ni Sauti ya mtangazaji kutokea uwanja wa Hampden Park, kule Glasgow baada ya Mchezaji wa ufaransa mwenye asili ya Algeria zinadine zidane "Zizou" kuifungia timu yake goli la pili kwenye ushindi wa 2-1 dhidi ya Bayern Leverkusen mwaka 2002 katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Goli la kwanza lilifungwa na Raul mnamo dakika ya nane ya mchezo, Lakini baada ya dakika tano tu Lucio alisawazisha goli hilo kabla ya Zidane kuifungia Real goli la pili dakika ya 45 kabla ya mapumziko.

kikosi cha real Madrid kilikuwa: Cesar (GK), Michael Salgado  Fernando Hiero, Ivan Helguera, Robert Carlos, Claude Makelele, Luis Figo, Santiago Solari, Zinadine Zidane, Raul, Fernando Morientes
AKIBA: Iker Cassillas(GK), Aito Karanka, Franscisco Pavon, Steve Mcmanaman, Guti, Flávio Conceição, Pedro Munitis,
Kocha: Vicent Del Bosque

Kikosi cha Bayern Leverkusen: Hans-Jörg Butt (GK),Zoltán Sebescen, Boris Živković,  Lúcio, Diego Placente, Carsten Ramelow (c), Bernd Schneider, Michael Ballack, Thomas Brdarić, Yıldıray Baştürk, Oliver Neuville
AKIBA: Frank Juric, Marko Babić, Thomas Kleine, Jurica Vranješ, Anel Džaka,Ulf Kirsten, Dimitar Berbatov
KOCHA: Klaus Toppmöller.




No comments:

Post a Comment

Pages