GOAL MORNING: Robert Carlos The Physics Behind 'Impossible' Strike | France v Brazil - ⚽Jumba La Michezo⚽

House of History, Sports & Movies

Breaking

Thursday, May 10, 2018

GOAL MORNING: Robert Carlos The Physics Behind 'Impossible' Strike | France v Brazil

Mwaka 1977 katika Nchi ya Ufaransa ilipigwa mechi moja kali sana kati ya Wenyeji Ufaransa vs Wageni wao Brazil. Mechi kulikuwa na tournament kwa ajili ya kujiandaa na kombe la dunia ambalo lilikuwa linafanyika kwa 1998 nchini ufaransa.

Tournament hii maalum kwa ajili ya timu za taifa ambalo lilikuwa linaitwa Tournament of France, Michezo hii ilihusisha wenyeji (ufaransa), Uingereza, Italia pamoja na Brazil.

Tournament hii ilimalizika kwa Uingereza kuchukua ubingwa baada ya kukusanya alama nyingi katika michezo hii (alama sita) ikifuatiwa na Brazil alama tano.

Mechi ya ufunguzi ndio hii ambayo ilikuwa inahusisha Ufaransa pamoja na Brazil, katika dimba la Stade de Greland. Mnamo dakika ya 21 ya mchezo huo Robert Carlos alifunga goli kwa free kick umbali usiopungua mita 35 baada ya mpira uliopigwa kuwazunguka mabeki wa ufaransa huku golikipa akishindwa kuuona shuti hilo.

Mwisho matokeo yalikuwa ni goli 1-1 baada ya ufaransa kusawazisha kupiyia Keller dakika ya 55.


No comments:

Post a Comment

Pages