
Jumamosi ya Octoba 2013, klabu ya Arsenal iliifunga klabu ya Norwich 4-1 Saturday, huku wakifunga magoli bora kabisa. Goli la kwanza lilifungwa na Jack Wilshere, Moja ya goli zuri kabisa kuwahi kufungwa.

Santi Cazorla akiwa na mpira anawasubiri wenzake wafike, ambapo anampasia Giroud , nae Giroud anampa Wilshere anarejesha kwa Giroud na baadae anampa tena Wilshere na kufunga goli, Hii ilifanyika ndani ya sekunde tatu.

No comments:
Post a Comment