NINI CHANZO CHA UGOMVI WA MOURINHO NA MKHITAYRAN? - ⚽Jumba La Michezo⚽

House of History, Sports & Movies

Breaking

Sunday, February 25, 2018

NINI CHANZO CHA UGOMVI WA MOURINHO NA MKHITAYRAN?

Na: Bakari Ally
Simu: 0659767121


"It was great moment" ni kauli ya Mourinho baada ya kiungo wa Armenia kufunga goli kwa mtindo wa nge(Scorpion Kick) katika mchezo wa ligi kuu nchini uingereza msimu wa 2016/2017, Kwa sasa hili ni moja ya magoli mazuri ambayo yanweza kukumbukwa kutoka kwa mchezaji wa zamani wa klabu ya Manchester united na Borussia Dortmund, lakini kwa sasa yupo katika mitaa y alondon akiitumikia klabu ya Arsenal.

Henrick Mkhitayran alisajiliwa na klabu ya Manchester united kutokea klabu ya Borrussia Dortmund kwa pesa yenye thamani ya euro ishirini na sita millioni chini ya kocha mreno Jose Mourinho, Hakuna shaka juu ya kiwango chake Micki ni moja ya vipaji katika dunia hii anaweza cheza kama winga, strikers lakini anacheza sana kama second striker(namba 10 na mara nyingi anacheza nyuma ya mshambuliaji.

Swali linakuja kwanini Mourinho ameamua kufanya swap ya SAnchez vs Henrick Mkhitayran, wakati Man united walikuwa na uwezo wa kulipa euro thelathini millioni kwa ajili ya kumchukua Sanchez na sio kufanya Swap?

Nimeanza na kauli ya Mourinho hapo juu nawakumbusha kuwa Mourinho alikuwa anampenda sana Micki, lakini pia micki alikuwa na performance nzuri katika msimu uliopita pia alifunga goli katika mechi ya fainali ya Europa ligi dhidi yaAjax, Micki kaanza vizuri huu msimu huku akiwa top assist at the club for early twelve  premier leageumatches, why Mou sold him? ni swali gumu na kila mtu ana uchambuzi wake kuhusu kubadilishwa kwa Micki vs Sanchez, Je ni Lini ugomvi wa Micki na Mourinho ulianza na kisa ni nini?

Wengi wanasema ugomvi wa Micki na Mourinho ulianzia mazoezini, na Micki ni mvivu sana kufanya mazoezi, swali la kujiuliza kwa nini wasiwe na uadui wakati wa msimu wa kwanza wa Micki kusajiliwa na itokee mwaka huu?

Micki mwaka huu kaanza mechi 11a mwanzo wa Ligi na kushuhudia 4G katika ushindi wa Man utd, and mick had impressive game in all matches, ambapo alikuwa anatoa assist kwa timu, Micki alianza kukaa benchi katika mechi dhidi ya Huddersfield ambapo  aliingia dakika ya 46 ni mechi ambayo walifungwa na hakuwa katka starting first eleven, lakini mechi iliyofuata dhidi ya Spurs alianza na kufanya United inaibuka na ushindi, katika mechi dhidi ya stoke city his impressive form ilimfanya aitwe Micki Magic japo Matokeo yalikuwa na sare ya 2-2.





















































No comments:

Post a Comment

Pages