Leo hii ni Ijumaa ya kwanza kabisa katika mwezi huu wa machi, pia tumuombe mungu atujalie mafanikio na afya tele kwenye huu mwezi tuseme Ameen.
Leo hii nimekuletea jamaa anaitwa Jean Michael ambaye ni mtalii wa kifaransa katika bara ya afrika, ambaye amekili kutembea na wadada takribani 1400 na kuweka mimba wadada 600, unaweza sema kama story nimetunga hivi lakini ndio ukweli huo kutoka kwa Jean Michael.
"Wanawake wengi wa Nigeria na afrika wanadhania kuwa watu kutoka magharibi wana pesa, kwahiyo wanaweza kubadili maisha yao" Jean alisema
Alipokuwa anahojiwa na Online news kupitia Afrika24, Jean mwenye miaka 40 amesema kuwa kawaweka mimba wadada takribani 600 katika nchi sita za afrika zikiwemo Nigeria, Cameroon, Ivory Coast, Togo, Ghana na Guinea, kwa kipindi cha miaka miwili.
katika kutubu maovu hayo mfaransa huyo maneno yake yalitafsiriwa na Simon Alberta katika jiji la Washington, katika wilaya ya Columbia na maneno yake yakisomeka kuwa;
"Habari za asubuhi Africa 24, Nataka kukiri juu ya maangamizi niliyofanya katika nchi sita za afrika Cameroon, Togo, Cote D’Ivoire, Nigeria, Ghana na Guinea. Sijisifu kwa vitu ambavyo nimefanya, lakini kitu kibaya kuwahi kufanya.
"Nikiwa ufaransa nilikuwa sina pesa. Nilikuwa masikini sana mpaka siku moja nilicheza na kushinda bahati nasibu. Nilishinda 550 thousand euros, Ni kiasi kikubwa cha pesa kuwahi kupata katika maisha yangu"
"Nilikuwa sijui nizifanyie nini, rafiki yangu akanipa ushauri tusafiri kuelekea afrika, na tulipata nyaraka zote, visa ya kuingilia,na sehemu ya kufikia, na kituo chetu cha kwanza kilikuwa ni nchi ya Ivory Coast"
"Nikiwa Abidjan (mji mkuu wa Ivory Coast) tulikodi apartment yenye samani. Tulikuwa na pesa ya kutumia na tulikutana na wenyeji na kuwa marafiki. Wakatutambulisha wasichana wa ki-ivory coast kwetu, na ndipo mambo yote yalianzia"
"Nilianza kulala na wasichana kila siku, wakati mwingine nilikuwa nalala na wasichana watatu kwa wakati mmoja, Nilikuwa na juzoefu wa ajabu"
SOMA PIA: KUANGAMIA KWA JIJI LA MILLAN, SO SAD
"Sikuwa na hofu sana kuhusu afya yangu. Yote nilikuwa nataka kufurahi na wenzangu. Marafiki zangu na Mimi kila siku tulikuwa tunaenda club za usiku(night club) kutafuta wasichana."
"Siku moja nilikutana na msichana na nilimpatia pesa,na akaniambia kuwa anataka tuwe kwenye mahusiano, na yuko tayari kuwekwa mimba na mimi. Sikujua kama umependa pesa au kwa kuwa mimi ni mfaransa ndicho kilichowavutia
"Nilitumia miezi mitatu nikiwa Ivory Coast, nilitumia 60,000 euros na nililala na wasichana zaidi ya 80, Nilipotoka Ivory coast nikaenda Togo ambapo nililala na wasichana zaidi ya 100 na nilitumia 40,000 euros.
Nilitumia miezi mitatu kukaa Togo na nikaenda Nigeria. Nigeria ndipo nilipata wasichana zaidi. Nilikuwa siongei kiengereza, inaonekana wasichana wa nigeria wanawapenda wageni.
"Nilipangisha apartment ya samani nikiwa LAgos kwa miezi sita. Nilitumia 100,000 euro na nililala na wasichana 230. Nigeria ni sehemu niliyoikubali. wasichana wanapaikana na rahisi kudanganywa.
"Kutoka Nigeria, nilienda Ghana, na baadae Cameroon na niliishia ambapo nimezungumzia sex tour yangu Guinea. Nilipokuwa katika nchi hizi tatu zaidi ya mwaka na nilitumia 200,000 euros. Nikuambie nililala na zaidi ya wanawake 700 katika nchi hizi tatu, Hautoamini, na ni ngumu kuamini!
"Kwa yote, nimelala na wanawake 1400 katika nchi six tofauti, nina picha zao wote kwenye albumu yangu, kuanzia siku tuliyokutana(tarehe), majina yao, na namba zao za simu. Nimefungua akaunti ya Facebook kwa ajili yao tu.
"Tangu nirudi ufaransa, zaidi ya 600 wameniambia kuwa wana mimba yangu, wengine wamezitoa, na sijui ni wangapi mpaka sasa wamefanikiwa kuzaa.
"Afrika ni bara la ajabu. Wanawake ni wazuri na wapo very sexy, Wote wanamtaka mwanaume ambaye ana pesa na mbaya zaidi akiwa mweupe.
"Nimegundua kuwa wanapenda kuwa na mtoto aliechanganya rangi, Sijui kwanini, na wengi wapo tayari kupata mimba kwako(kama utakuwa na pesa). ukiwa na euro mia ni pesa nzuri afrika.
"Kwa ufupi, nilienda sex tour afrika, ambapo nililalal na wanawake 1400 na kuwapa mimba 600 kwa miaka miwili.
"Najua mtani jadili, lakini sitojali matusi yenu. Natambua kuwa nilichofanya sio kitu kizuri, lakini nimefurahia kuka afrika, ninapanga safari nyingine ya kwenda Senegal, Mali, Gabon, Benin, Niger na Democratic Republic of Congo.
"Siku niliyo rudi ufaransa, Nilielekea hospitali kwa ajili ya kupata vipimo, na nina bahati, Nilikuwa sina maambukizi ya Ukimwi (HIV negative), na sikuwa na ugonjwa wowote wa kuambukizwa.
"Rafiki angu pia hana maambukizi na tunapanga safari nyingime. Samahani sijaenda Sekondari, kwahiyo puuzieni makosa ya kigrama, Asanteh kwa kusoma story yangu.
**DOWNLOAD MIZIKI MIPYA YA KIZUNGU KWA KUBONYEZA HAPA**
No comments:
Post a Comment