Hawa Ndiyo Watu Wanaomfanya Bill Gates Aonekane Maskini - ⚽Jumba La Michezo⚽

House of History, Sports & Movies

Breaking

Tuesday, March 27, 2018

Hawa Ndiyo Watu Wanaomfanya Bill Gates Aonekane Maskini

Watati Bill Gates akiwa na utajiri wa dola za kimarekani Bilioni 80 wafuatao ni matajiri ambao hawatajwi sana wala kusikika sana ambao wanamfanya Bill Gates aonekane choka mbaya kuliko wao.

10.KIM JONG UN
Utajiri wake ni Dola za Kimarekani Bilioni 170.
[​IMG]
Wangapi wanamjua huku Rais wa sasa wa Korea Ya Kaskazini Kim Jong Un au Dogo KIduku kama wengi wanavyopenda kumuita??
Basi huyu jamaa kuingia kwenye hii losti inaweza ikakushangaza kidogo.Wakati wananchi wa Koreaa wakilalamika maisha magumu huyu Kim Jong Un yeye na familia yake wanamiliki karibu na rasilimali zote za nchi hiyo.

Huyu jamaa kila siku anatumia maelfu ya dola za kimarekani kununulia pombe na sigara.Unajua kwanini hawekwi kwenye jarida la Forbe??
Kwasababu mali zake nyingi hazajipata kihalali.



9.FAMILIA YA ROTHSCHILDS
Utajiri wao ni Dola za Kimarekani Trilioni 2
[​IMG]
Hawa majajiri hawajaanza leo wapo vizazi mpaka vizazi.
Hii ni familia ya kitajiri na sio mtu mmoja pekee yake.Basi ondoa shaka hawa ni matajiri kuliko Bill Gates mwenyewe.
The family are known for their insane secrecy which has led to a lot of conspiracies about them. Some say they’re responsible for planning every historical event in order to make money. There are some evidence to support this such as them funding many political activities all around the world. And they do hold a secret meeting called the ‘Bilderberg’ meeting each year where they plan secret ways to make tons of money. The family’s net worth is said to be over two trillion dollars, but believe it or not there are only the second richest family in the world.


8.MUAMMAR GADDAFFI
[​IMG]
Walibya wangapi mpaka leo wanajuta baada ya kifo cha huyu rais??
Basi bwana huyu ndiye Rais aliyeipeleka Libya kwenye Nchi Ya Ahadi.
Yaani elimu ilikuwa bure,matibabu bure,umeme bure na makorokoro mengine kibao.
Basi kwa taarifa yako jamaa alikuwa ana bunduki ya dhahabu na utajiri wa Dola za kina TRUMP Bilioni 180.


7.FAMILIA YA SAUD
Wangapi wanaujua utawala wa Saudi Arabia wa kifalme??
Hii familia inashika namba 2 kwa utajiri ukiachana na familia ya Rothschilds
Basi hawa majamaa wa familia hii ya Wanamfalme wanamiliki utajiri wa Dola za kimarekani Trilioni 2.4
Hawa wanandugu wanauza mafuta huku mapato yote yatokanayo na mafuta yakiingia kwenye waleti zao binafsi.
Pesa zinazopatikana katika mafuta wanatumia kununulia magari ya kifahari ya bei mbaya.
Mpaka sasa utajiri wao nisiri ambaayo hawataki mtu yeyote ajue isipokuwa mimi.


6.BASHAR AL ASSAD
[​IMG]
Huyu ni rais dikteta wa sasa wa Syria ambaye anamiliki utajiri wa dola za kimarekani Bilioni 122
Wakati wananchi wake wakipigania maisha yao huku mamilioni wakikimbia makazi huyu BASHAR AL ASSAD anaendelea kula maisha tu.
Utajiri mwingi umetokana na kuiba rasilimali za nchi yake huku akiwa na akaunti ya fedha za kutosha huko Panama.


5.PABLO ESCOBAR
[​IMG]
Yaani hapa bila ubishi huyu jamaa alistahili kuingia kwenye hii listi.
Jamaa alikiiuwa muuza madawa ya kulevya huko Columbia jamaa alikuwa muhalifu balaa.
Pia alikuwa na ndege na boti ambazo zilikuwa zinamrahisishia kusafirisha madawa popote pale pia alikuwa ana mbuga wa wanyama nyumbani kwake.
Huyu jamaa kwa mwezi alikuwa anatumia Tsh 5,550,000/- kwa aji;li ya kununulia rubber band tamka rababendi kwa ajili ya kufungia maburunguti ya pesa zake.
Katika kipindi cha majira ya baridi alichoma moto dola za kimarekani Milioni 2 ili kumpa joto mtoto wake.
Kwa siku alikuwa aningiza dola za kimarekani Milioni 66.
Kwa maelezo zaidi tafuta movie iitwayo NACROS.


4.HOSNI MUBARAK
[​IMG]
Ukiachana na rais dikteta wa Afrika Muammar Gaddaffi anafuatia huyu wa Misri anaitwa Hosni Mubarak.
Huyu alikuwa rais wa Misri tangu 1981 mpaka 2011 alipopinduliwa na jeshi kwa matumizi mabaya ya madaraka na kukithiri kwa rushwa.
Kwasasa huyu mshkaji yupo gerezani akiwa na utajiri wa dola za kimarekani Bilioni 70.


3.ALI ABDULLAH SALEH
[​IMG]
Huyu jamaa hasikiki sana masikioni mwa watu ila ndo hivyo tena piga ua garagaza huyu jamaa ni raos wa Yemen kwa miaka 30 sasa wakati wananchi wakitangatanga njaa na kuwa mojawapo ya nchi maskini duniani huyu Rais anamiliki utajiri wa dola za kimarekani Bilioni 126 akiwa ameziweka kwa siri kwenye bank tofauti tofauti.


2.VLADIMIR PUTIN
[​IMG]
Hutu jamaa ni rais wa sasa wa Urusi tangu mwaka 2009 ukiachana na utajiri alionao jamaa pia ni mtu mwenye nguvu na ushawishi mkubwa duniani.
Wakati Bill Gates akilingishia ki Bilioni 80 chake huyu Putin ana mara 2.5 ya utajiri wa Bill Gates namaanisha jamaa ana utajiri wa Billion 200 za kimarekani ambazo ni sawa na Trilion 440 za Kitanzania.
Pesa nyingi jamaa amezifich huko Panama huku akiwadanganya wakaguzi wa hesabu za serikali akina CAG kwamba yeye anamiliki Bilioni 2 tu.

1.MANSA MUSSA

[​IMG]
Sasa hapa ndipo kwenye funga kazi.
Ebu tumpongeze Mwafrika mwenzetu kwa kuongoza listi hii huyu si mwingine bali ni MANSA KANKAN MUSSA mfanyabiashara na tajiri wa wakati wote kutoka Afrika.
Huyu jamaa alikuwa na mtawala huko nchi ya Mali kwenye jimbo la Tumbuktu jamaa alikuwa ana utajiri wa kutisha upatao dola za kimarekani Trilioni 400.
Jamaa alikuwa akienda kuhiji huko Makka alikuwa anaenda na jumla ya wananchi wake 10,000 kwa tripu moja.
Kwa wale waliowahi kusoma Historia inayohusu Trans Saharan Trade wanamjua vizuri sana huyu.
Huyo ndiyo MANSA KANKAN MUNSA tajiri wa wakati wote. 

No comments:

Post a Comment

Pages