Na: Bakari Ally
Simu: 0684000544
Will Keane pichani |
Kama utakuwa umewai kuipitia historia ya klabu ya man utd utaona kuwa Matt Busby na Sir Alex Ferguson ni makocha wenye mafanikio na ndio wamedumu kwa kipindi kirefu huku matt busby akianza mwaka 1945 mpaka 1969 huku Sir Alex akianzia mwaka 1986 mpaka 2013 lakini wote wakiwa na itikadi moja Je ni itikadi gani hiyo?
Wakati amefika matt busby alikuwa na itikadi ya kuwatumia vijana enzi za Matt Busby alikuwa na vijana kama Roger Byrne,Bill foulkes,Mark Jones,Dani Viollet.
Pia mwaka 1953 alitokea kijana kutoka Dudley West Midland ambaye akicheza kama winga na alikuwa anaaminika kuwa namba yoyote anaweza kucheza.
Huku wachezaji wake wengi wakifa katika ajali ya ndege mwaka 1958 mchezaji kama duncan,roger byrne,mark jones na wengineo wakipoteza maisha katika ajali hiyo.japo wachezaji wengi walikufa (9) lakini matt busby aliendelea kuleta vijana kama george best mpaka alipoachia madaraka mwaka 1969.
Baada ya kuondoka kwa matt busby ndipo Wilf mcguinnes akafukuzwa akaja Frank O'Farrel ambaye nae alidumu miezi 18 akaja kocha anaitwa Dave Sexton ambae nae alifukuzwa kwa kuwa alikuwa anatumia mfumo wa kujihami akaja Ron Atkinson nae alitimuliwa ndipo pale akaja alex ferguson.
Alex ferguson yeye alipofika aliitoa timu kwenye kushuka daraja mpaka nafasi ya 11 yeye alikuwa na watoto wake ambao ni Beckham,phil na garry Nevile pamoja na paul scholes hapo ndipo ulikuwa mwanzo mzuri ndipo Ferguson alizidi kung'ara huku canton akiongoza mashambulizi.
Kama Ferguson na Matt Busby walikuwa wametumia vijana basi ata wazi kuwa kocha anaekuja nae atatumie vijana na si timu hii ambayo kuna rooney na rvp inawezekana kabisa will keane na Sam johnstone ndio watakuwa wakombozi wa man utd.
FORGIVE ME

No comments:
Post a Comment