TAMBUA VITU HIVI KUHUSU UHURU KENYATTA - ⚽Jumba La Michezo⚽

House of History, Sports & Movies

Wednesday, November 29, 2017

demo-image

TAMBUA VITU HIVI KUHUSU UHURU KENYATTA

Karibu katika ukurasa huu asubuhi hii ya leo, Tumekuwekea dondoo muhimu ambazo inawezekana hauzijui zinazomuhusu Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta ambapo jana aliapisha na kuwa rais kwa awamu ya pili.

1.Kenyatta amewahi fanya kazi kama  Waiter katika hotel inaitwa Burger King mwaka 1980's alipokuwa United state, Pia amefanya kazi ya Cashier katika benki ya KCB tawi la kipande house liliopo Nairobi.
 maxresdefault

2.Gari yake ya kwanza kumiliki ilikuwa niAlfa Romeo. Pia aliwahi kumiliki Pick-Up kwa ajili ya biashara yake ya Kilimo cha Maua(Horticulture).

NAKWENDAA MILLAN: THE DEMISE OF MILLAN CITY, SO SAD 
 horticultural-crops

3.Uhuru Kenyatta anapenda Kuangalia Katuni na katuni anayoipenda ni series ya Flintstones.
 0e1f68a05d3f7b22c5511d2666c68706

4.anapenda mziki wa aina ya Reggae, na mwanamuziki anaempenda ni Bob Marley, Tracy Chapman na UB40.
 .com/blogger_img_proxy/

5.Chakula ambacho Uhuru anakipenda ni Nyama Choma.#
 .com/blogger_img_proxy/

6.Pia anapenda kanda za ngumi huku TV series anayoipenda ni 24 hours alioicheza Jack Bauer.
 923e5395573d5c40a2b0ec2a8b7e8ece--kiefer-sutherland-season-

7.Uhuru anapenda kanda za kiafrika na anapenda kuangalia Shaka Zulu.
.com/blogger_img_proxy/

No comments:

Post a Comment

Pages